Thursday, 19 June 2014

Hukumu Salome Mwabindo





Kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe

Ataenda na kusimama mbele ya kiti cha hukumu

Na kutoa hesabu yake sawa na matendo yake

Rekebisha matendo yako utasimama hukumuni





Hahaha Good old days!

No comments:

Post a Comment